2 Samueli 22:1-50 ONEN - Bible AI

1Daudi alimwimbia Bwana* maneno ya wimbo huu wakati Bwana* alipomwokoa mikononi mwa adui zake wote, na pia mkononi mwa Sauli.

2Akasema:

3Mungu wangu ni mwamba wangu,

4Ninamwita Bwana*, anayestahili kusifiwa,

5“Mawimbi ya mauti yalinizunguka,

6Kamba za kuzimu+ 22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, maana yake ni Shimo lisilo na mwisho.* zilinizunguka,

7Katika shida yangu nalimwita Bwana*,

8“Dunia ilitetemeka na kutikisika,

9Moshi ukapanda kutoka puani mwake,

10Akazipasua mbingu akashuka chini,

11Alipanda juu ya kerubi akaruka,

12Alifanya giza hema lake la kujifunika:

13Kutokana na mwanga wa uwepo wake

14Bwana* alinguruma kutoka mbinguni,

15Aliipiga mishale na kutawanya adui,

16Mabonde ya bahari yalifunuliwa,

17“Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika;

18Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi,

19Walinikabili siku ya msiba wangu,

20Alinileta nje mahali penye nafasi tele,

21“Bwana* alinitendea sawasawa na uadilifu wangu;

22Kwa maana nimezishika njia za Bwana*;

23Sheria zake zote zi mbele yangu,

24Nimekuwa sina hatia mbele zake,

25Bwana* amenilipa sawasawa na uadilifu wangu,

26“Kwa yeye aliye mwaminifu unajionyesha kuwa mwaminifu,

27kwa aliye mtakatifu unajionyesha kuwa mtakatifu,

28Wewe huwaokoa wanyenyekevu,

29Wewe ni taa yangu, Ee Bwana*.

30Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi,

31“Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu;

32Kwa maana ni nani aliye Mungu

33Mungu ndiye anivikaye nguvu

34Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu,

35Huifundisha mikono yangu kupigana vita;

36Hunipa ngao yako ya ushindi,

37Huyapanua mapito yangu,

38“Niliwafuatia adui zangu na nikawaseta,

39Niliwaseta kabisa, nao hawakuweza kuinuka tena;

40Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;

41Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,

42Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;

43Niliwaponda kama mavumbi ya nchi;

44“Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu wangu;

45nao wageni huja wakininyenyekea,

46Wote wanalegea,

47“Bwana* yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu!

48Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi,

49aniwekaye huru toka kwa adui zangu.

50Kwa hiyo nitakusifu, Ee Bwana*,

cle>