1Sikilizeni neno hili alilosema Bwana* dhidi yenu, enyi watu wa Israeli, dhidi ya jamaa nzima niliowapandisha toka Misri:
2“Ni ninyi tu niliowachagua
3Je, watu wawili hutembea pamoja
4Je, simba hunguruma katika kichaka
5Je, ndege aweza kuanguka kwenye mtego ulio ardhini
6Je, tarumbeta inapopigwa mjini kujulisha hatari,
7Hakika Bwana* Mwenyezi hatafanya neno lolote
8Simba amenguruma:
9Tangazeni katika ngome za Ashdodi
10Bwana* asema: “Hawajui kutenda lililo jema,
11Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana* Mwenyezi:
12Hili ndilo asemalo Bwana*:
13“Sikia hili na ushuhudie dhidi ya nyumba ya Yakobo,” asema Bwana, Bwana* Mungu Mwenye Nguvu Zote.
14“Siku nitakapomwadhibu Israeli kwa sababu ya dhambi zake,