Amosi 6:1-13 ONEN - Bible AI

1Ole wenu ninyi mnaostarehe na kuridhika katika Sayuni,

2Nendeni Kalne mkaone kutoka huko;

3Mnaiweka mbali siku iliyo mbaya

4Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu,

5Ninyi mnapiga vinubi kama Daudi,

6Mnakunywa mvinyo kwa bakuli zilizojazwa,

7Kwa hiyo mtakuwa miongoni mwa watu wa kwanza kwenda uhamishoni;

8Bwana* Mwenyezi ameapa kwa nafsi yake mwenyewe: Bwana* Mungu Mwenye Nguvu Zote asema:

9Kama watu kumi watabaki katika nyumba moja, wao pia watakufa.

10Kama jamaa ambaye atachoma miili akija ili kuitoa nje ya nyumba, na kumuuliza yeyote ambaye bado anajificha humo, “Je, yuko mtu yeyote pamoja nawe?” Naye akisema, “Hapana,” ndipo atakaposema, “Nyamaza kimya! Haturuhusiwi kutaja jina la Bwana*.”

11Kwa kuwa Bwana* ameamuru,

12Je, farasi waweza kukimbia kwenye miamba mikali?

13ninyi mnaoshangilia kushindwa kwa Lo-Debari

© 2001 American Bible Society
/div>