1Neno kuhusu Bonde la Maono:
2Ewe mji uliojaa ghasia,
3Viongozi wako wote wamekimbia pamoja,
4Kwa hiyo nilisema, “Geukia mbali nami,
5Bwana, Bwana* Mwenye Nguvu Zote, anayo siku
6Elamu analichukua podo,
7Mabonde yako yaliyo mazuri sana yamejaa magari ya vita,
8ulinzi wa Yuda umeondolewa.
9mkaona kuwa Mji wa Daudi
10Mlihesabu majengo katika Yerusalemu
11Mlijenga bwawa la maji katikati ya kuta mbili
12Bwana, Bwana* Mwenye Nguvu Zote,
13Lakini tazama, kuna furaha na sherehe,
14Bwana* Mwenye Nguvu Zote amelifunua hili nikiwa ninasikia: Bwana, Bwana* Mwenye Nguvu Zote, asema: “Mpaka siku ya kufa kwenu, dhambi hii haitafanyiwa upatanisho.”
15Hili ndilo Bwana, Bwana* Mwenye Nguvu Zote, asemalo:
16Unafanya nini hapa, na ni nani aliyekupa ruhusa
17“Jihadhari, Bwana* yu karibu kukukamata thabiti,
18Atakuvingirisha uwe kama mpira
19Nitakuondoa kutoka kazi yako,
20“Katika siku ile, nitamwita mtumishi wangu, Eliakimu mwana wa Hilkia.
21Nitamvika joho lako, nami nitamfunga mshipi wako kiunoni mwake, na kumkabidhi mamlaka yako. Yeye atakuwa baba kwa wale wanaoishi Yerusalemu na kwa nyumba ya Yuda.
22Nitaweka mabegani mwake ufunguo wa nyumba ya Daudi. Kile afunguacho hakuna awezaye kufunga, na kile afungacho hakuna awezaye kufungua.
23Nitamgongomea kama kigingi kilicho mahali palipo imara, naye atakuwa kiti cha enzi cha heshima kwa ajili ya nyumba ya baba yake.
24Utukufu wote wa jamaa yake utakuwa juu yake: Watoto wa jamaa hiyo na machipukizi yake, vyombo vyake vyote vidogo, tangu bakuli hadi magudulia yote.”