Isaya 26:1-20 ONEN - Bible AI

1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda:

2Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia,

3Utamlinda katika amani kamilifu

4Mtumaini Bwana* milele,

5Huwashusha wale wajikwezao,

6Miguu huukanyaga chini,

7Mapito ya wenye haki yamenyooka.

8Naam, Bwana*, tukienenda katika sheria zako,

9Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku,

10Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu,

11Ee Bwana*, mkono wako umeinuliwa juu,

12Bwana*, unaamuru amani kwa ajili yetu,

13Ee Bwana*, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala,

14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai,

15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana*,

16Bwana*, walikujia katika taabu yao,

17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa

18Tulikuwa na mimba, tuligaagaa kwa maumivu,

19Lakini wafu wenu wataishi,

20Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu