1Nisikilizeni, enyi visiwa, sikieni hili,
2Akafanya kinywa changu kuwa kama upanga ulionolewa,
3Akaniambia, “Wewe u mtumishi wangu,
4Lakini nilisema, “Nimetumika bure,
5Sasa Bwana* asema:
6yeye asema:
7Hili ndilo asemalo Bwana*,
8Hili ndilo asemalo Bwana*:
9kuwaambia mateka, ‘Tokeni nje,’
10Hawataona njaa wala kuona kiu,
11Nitaifanya milima yangu yote kuwa barabara,
12Tazama, watakuja kutoka mbali:
13Pigeni kelele kwa furaha, enyi mbingu;
14Lakini Sayuni alisema, “Bwana* ameniacha,
15“Je, mama aweza kumsahau mtoto
16Tazama, nimekuchora kama muhuri
17Wana wako wanaharakisha kurudi,
18Inua macho yako ukatazame pande zote:
19“Ingawa uliangamizwa na kufanywa ukiwa,
20Watoto waliozaliwa wakati wa msiba wako
21Ndipo utasema moyoni mwako,
22Hili ndilo asemalo Bwana* Mwenyezi:
23Wafalme watakuwa baba zenu wa kuwalea,
24Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita,
25Lakini hili ndilo asemalo Bwana*: