Isaya 50:1-10 ONEN - Bible AI

1Hili ndilo asemalo Bwana*:

2Nilipokuja, kwa nini hakuwepo hata mmoja?

3Ninalivika anga weusi na kufanya nguo ya gunia

4Bwana* Mwenyezi amenipa ulimi uliofundishwa,

5Bwana* Mwenyezi amezibua masikio yangu,

6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao,

7Kwa sababu Bwana* Mwenyezi ananisaidia,

8Yeye anipatiaye haki yangu yu karibu.

9Ni Bwana* Mwenyezi anisaidiaye mimi.

10Ni nani miongoni mwenu amchaye Bwana*,