Isaya 52:1-14 ONEN - Bible AI

1Amka, amka, ee Sayuni,

2Jikungʼute mavumbi yako,

3Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana*:

4Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana* Mwenyezi:

5“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana*.

6Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu;

7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema

8Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao,

9Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja,

10Mkono mtakatifu wa Bwana* umefunuliwa

11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko!

12Lakini hamtaondoka kwa haraka,

13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima;

14Kama walivyokuwa wengi