Isaya 53:1-11 ONEN - Bible AI

1Ni nani aliyeamini ujumbe wetu,

2Alikua mbele yake kama mche mwororo

3Alidharauliwa na kukataliwa na wanadamu,

4Hakika alichukua udhaifu wetu

5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu,

6Sisi sote, kama kondoo, tumepotea,

7Alionewa na kuteswa,

8Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa.

9Wakamfanyia kaburi pamoja na waovu,

10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana*

11Baada ya maumivu ya nafsi yake,