1Hili ndilo asemalo Bwana*:
2Amebarikiwa mtu yule atendaye hili,
3Usimwache mgeni aambatanaye na Bwana* aseme,
4Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana*:
5hao nitawapa ndani ya Hekalu langu na kuta zake
6Wageni wanaoambatana na Bwana*
7hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu
8Bwana* Mwenyezi asema, yeye awakusanyaye
9Njooni, enyi wanyama wote wa kondeni,
10Walinzi wa Israeli ni vipofu,
11Ni mbwa wenye tamaa kubwa,