Isaya 59:1-20 ONEN - Bible AI

1Hakika mkono wa Bwana* si mfupi hata usiweze kuokoa,

2Lakini maovu yenu yamewatenga

3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu

4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki;

5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali

6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo;

7Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,

8Hawajui njia ya amani,

9Hivyo uadilifu uko mbali nasi,

10Tunapapasa ukuta kama kipofu,

11Wote tunanguruma kama dubu;

12Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako,

13Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana*,

14Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma,

15Kweli haipatikani popote,

16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja,

17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake,

18Kulingana na kile walichokuwa wametenda,

19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana*

20“Mkombozi atakuja Sayuni,