1Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza,
2Mataifa wataona haki yako,
3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana*,
4Hawatakuita tena Aliyeachwa,
5Kama vile kijana aoavyo mwanamwali,
6Nimeweka walinzi juu ya kuta zako, ee Yerusalemu,
7msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu
8Bwana* ameapa kwa mkono wake wa kuume
9lakini wale waivunao nafaka wataila
10Piteni, piteni katika malango!
11Bwana* ametoa tangazo