1Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia Bwana* wimbo huu:
2Bwana* ni nguvu zangu na wimbo wangu;
3Bwana* ni shujaa wa vita;
4Magari ya vita ya Farao na jeshi lake
5Maji yenye kina yamewafunika,
6“Mkono wako wa kuume, Ee Bwana*
7Katika ukuu wa utukufu wako,
8Kwa pumzi ya pua zako
9“Adui alijivuna,
10Lakini ulipuliza kwa pumzi yako,
11“Ni nani miongoni mwa miungu aliye kama wewe, Ee Bwana*?
12Uliunyoosha mkono wako wa kuume
13“Katika upendo wako usiokoma utawaongoza
14Mataifa watasikia na kutetemeka,
15Wakuu wa Edomu wataogopa,
16vitisho na hofu vitawaangukia.
17Utawaingiza na kuwapandikiza
18Bwana* atatawala
19Farasi wa Farao, magari yake ya vita na wapanda farasi wake walipoingia baharini, Bwana* aliyarudisha maji ya bahari yakawafunika, lakini wana wa Israeli walipita baharini mahali pakavu.
20Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
21Miriamu akawaimbia:
22Kisha Mose akawaongoza Israeli kutoka Bahari ya Shamu na kuingia katika Jangwa la Shuri. Kwa siku tatu walisafiri jangwani bila kupata maji.
23Walipofika Mara, hawakuweza kunywa maji yake kwa sababu yalikuwa machungu. (Ndiyo sababu mahali hapo panaitwa Mara+ 15:23 Mara maana yake ni Chungu.*)
24Kwa hiyo watu wakamnungʼunikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”
25Ndipo Mose akamlilia Bwana*, naye Bwana* akamwonyesha kipande cha mti. Akakitupa ndani ya maji, nayo maji yakawa matamu.
26Mungu akasema, “Kama mkisikiliza kwa bidii sauti ya Bwana* Mungu wenu na kuyafanya yaliyo sawa machoni pake, kama mkiyatii maagizo yake na kuzishika amri zake zote, sitaleta juu yenu ugonjwa wowote niliowaletea Wamisri, kwa kuwa Mimi ndimi Bwana*, niwaponyaye.”