1Neno la Bwana* lililomjia Sefania mwana wa Kushi, mwana wa Gedalia, mwana wa Amaria, mwana wa Hezekia, wakati wa utawala wa Yosia mwana wa Amoni mfalme wa Yuda:
2Bwana* asema,
3“Nitafagilia mbali watu na wanyama;
4“Nitaiadhibu Yuda
5wale ambao husujudu juu ya mapaa
6wale wanaoacha kumfuata Bwana*,
7Nyamazeni mbele za Bwana* Mwenyezi,
8Katika siku ya dhabihu ya Bwana*
9Katika siku hiyo nitaadhibu wote ambao
10Bwana* asema, “Katika siku hiyo
11Ombolezeni, ninyi mnaoishi katika eneo la sokoni;
12Wakati huo nitasaka mji wa Yerusalemu kwa taa,
13Utajiri wao utatekwa nyara,
14“Siku kubwa ya Bwana* iko karibu:
15Siku ile ni siku ya ghadhabu,
16siku ya tarumbeta na mlio wa vita
17Nitawaletea watu dhiki,