1Hili ndilo neno lililomjia Yeremia kutoka kwa Bwana*:
2“Hili ndilo asemalo Bwana*, Mungu wa Israeli: ‘Andika katika kitabu maneno yote niliyonena na wewe.
3Siku zinakuja,’ asema Bwana*, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana*.”
4Haya ndiyo maneno Bwana* aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda:
5“Hili ndilo asemalo Bwana*:
6Ulizeni na mkaone:
7Tazama jinsi ile siku itakavyokuwa ya kutisha!
8“ ‘Katika siku ile,’ asema Bwana* Mwenye Nguvu Zote,
9Badala yake, watamtumikia Bwana*, Mungu wao
10“ ‘Hivyo usiogope, ee Yakobo mtumishi wangu,
11Mimi niko pamoja nawe, nami nitakuokoa,’
12“Hili ndilo asemalo Bwana*:
13Hakuna yeyote wa kukutetea shauri lako,
14Wale walioungana nawe wote wamekusahau,
15Kwa nini unalia kwa ajili ya jeraha lako,
16“ ‘Lakini watu wote wakuangamizao wataangamizwa;
17Lakini nitakurudishia afya yako
18“Hili ndilo asemalo Bwana*:
19Nyimbo za kushukuru zitatoka kwao
20Watoto wao watakuwa kama walivyokuwa
21Mmoja wao atakuwa kiongozi wao;
22‘Kwa hiyo ninyi mtakuwa watu wangu,
23Tazama, tufani ya Bwana*