Yeremia 49:1-38 ONEN - Bible AI

1Kuhusu Waamoni:

2Lakini siku zinakuja,”

3“Lia kwa huzuni, ee Heshboni, kwa kuwa Ai umeangamizwa!

4Kwa nini unajivunia mabonde yako,

5Nitaleta hofu kuu juu yako

6“Lakini hatimaye,

7Kuhusu Edomu:

8Geuka na ukimbie, jifiche katika mapango marefu kabisa,

9Je, kama wachuma zabibu wangekuja kwako,

10Lakini nitamvua Esau nguo abaki uchi,

11Waache yatima wako; nitayalinda maisha yao.

12Hili ndilo asemalo Bwana*: “Kama wale wasiostahili kukinywea kikombe ni lazima wakinywe, kwa nini wewe usiadhibiwe? Hutakwepa kuadhibiwa, ni lazima ukinywe.

13Ninaapa kwa nafsi yangu,” asema Bwana*, “kwamba Bosra utakuwa magofu na kitu cha kutisha, cha aibu na cha kulaania; miji yake yote itakuwa magofu milele.”

14Nimesikia ujumbe kutoka kwa Bwana*:

15“Sasa nitakufanya uwe mdogo miongoni mwa mataifa,

16Vitisho vyako na kiburi cha moyo wako

17“Edomu atakuwa kitu cha kuogofya;

18Kama vile Sodoma na Gomora zilivyoangamizwa,

19“Kama simba anayepanda kutoka vichaka vya Yordani

20Kwa hiyo, sikia kile Bwana* alichokipanga dhidi ya Edomu,

21Kwa sauti ya anguko lao, dunia itatetemeka.

22Tazama! Tai atapaa juu angani na kuruka chini kwa ghafula,

23Kuhusu Dameski:

24Dameski amedhoofika,

25Kwa nini mji ambao unajulikana haujaachwa,

26Hakika, vijana wake wanaume wataanguka barabarani;

27“Nitatia moto kuta za Dameski;

28Kuhusu Kedari na falme za Hazori, ambazo Nebukadneza mfalme wa Babeli alizishambulia:

29Hema zao na makundi yao ya kondoo yatachukuliwa;

30“Kimbieni haraka!

31“Inuka na ulishambulie taifa lililo starehe,

32Ngamia wao watakuwa nyara,

33“Hazori itakuwa makao ya mbweha,

34Hili ndilo neno la Bwana* lililomjia nabii Yeremia kuhusu Elamu, mapema katika utawala wa Sedekia mfalme wa Yuda:

35Hili ndilo Bwana* Mwenye Nguvu Zote asemalo:

36Nitaleta pepo nne dhidi ya Elamu

37Nitamfadhaisha Elamu mbele ya adui zao,

38Nitaweka kiti changu cha enzi huko Elamu

e>