Yobu 14:1-21 ONEN - Bible AI

1“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke

2Huchanua kama ua kisha hunyauka;

3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo?

4Ni nani awezaye kutoa kitu safi kutoka kitu najisi?

5Siku za mwanadamu zimewekewa mpaka;

6Hivyo angalia mbali umwache,

7“Kwa maana lipo tumaini kwa mti;

8Mizizi yake yaweza kuchakaa ardhini

9lakini kwa kupata dalili ya maji utachipua

10Lakini mwanadamu hufa, na huo ndio mwisho wake;

11Kama vile maji yatowekavyo katika bahari,

12ndivyo mwanadamu alalavyo chini asiamke;

13“Laiti kama ungenificha kaburini,+ 14:13 Kaburini hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.*

14Je, kama mtu akifa, aweza kuishi tena?

15Utaniita nami nitakuitika;

16Hakika ndipo utakapozihesabu hatua zangu,

17Makosa yangu yatafungiwa kwa lakiri kwenye mfuko,

18“Lakini kama mlima umomonyokavyo na kufikichika

19kama maji yamalizavyo mawe,

20Humshinda mara moja kwa daima, naye hutoweka;

21Kama wanawe wakipewa heshima, yeye hafahamu;

© 2001 American Bible Society
/div>