Zaburi 10:1-17 ONEN - Bible AI

1Kwa nini, Ee Bwana*, unasimama mbali?

2Katika kiburi chake, mwovu humtesa maskini,

3Hujivunia tamaa za moyo wake;

4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu,

5Njia zake daima hufanikiwa;

6Anajisemea mwenyewe, “Hakuna kitakachonitikisa,

7Kinywa chake kimejaa laana, uongo na vitisho;

8Huvizia karibu na vijiji;

9Huvizia kama simba aliye mawindoni;

10Mateka wake hupondwa, huzimia;

11Anajisemea mwenyewe, “Mungu amesahau,

12Inuka Bwana*! Inua mkono wako, Ee Mungu.

13Kwa nini mtu mwovu anamtukana Mungu?

14Lakini wewe, Ee Mungu, unaona shida na huzuni,

15Vunja mkono wa mtu mwovu na mbaya,

16Bwana* ni Mfalme milele na milele,

17Unasikia, Ee Bwana*, shauku ya wanaoonewa,

>