Zaburi 120:1-6 ONEN - Bible AI

1Katika dhiki yangu namwita Bwana*,

2Ee Bwana*, uniokoe kutoka midomo ya uongo

3Atakufanyia nini,

4Atakuadhibu kwa mishale mikali ya shujaa,

5Ole wangu kwa kuwa naishi Mesheki,

6Nimeishi muda mrefu mno

>