Zaburi 128:1-5 ONEN - Bible AI

1Heri ni wale wote wamchao Bwana*,

2Utakula matunda ya kazi yako;

3Mke wako atakuwa kama mzabibu uzaao

4Hivyo ndivyo atakavyobarikiwa

5Bwana* na akubariki kutoka Sayuni

>