1Ee Bwana*, mkumbuke Daudi
2Aliapa kiapo kwa Bwana*
3“Sitaingia nyumbani mwangu
4sitaruhusu usingizi katika macho yangu,
5mpaka nitakapompatia Bwana* mahali,
6Tulisikia habari hii huko Efrathi,
7“Twendeni kwenye makao yake,
8inuka, Ee Bwana*, uje mahali pako pa kupumzikia,
9Makuhani wako na wavikwe haki,
10Kwa ajili ya Daudi mtumishi wako,
11Bwana* alimwapia Daudi kiapo,
12kama wanao watashika Agano langu
13Kwa maana Bwana* ameichagua Sayuni,
14“Hapa ni mahali pangu pa kupumzika milele na milele;
15Nitambariki kwa kumpa mahitaji tele:
16Nitawavika makuhani wake wokovu,
17“Hapa nitamchipushia Daudi pembe,+ 132:17 Pembe inawakilisha nguvu.*