Zaburi 135:1-20 ONEN - Bible AI

1Msifuni Bwana*.

2ninyi ambao mnatumika ndani ya nyumba ya Bwana*,

3Msifuni Bwana*, kwa kuwa Bwana* ni mwema,

4Kwa maana Bwana* amemchagua Yakobo kuwa wake mwenyewe,

5Ninajua ya kuwa Bwana* ni mkuu,

6Bwana* hufanya lolote apendalo,

7Hufanya mawingu kupanda kutoka miisho ya dunia;

8Alimuua mzaliwa wa kwanza wa Misri,

9Alipeleka ishara zake na maajabu katikati yako, ee Misri,

10Aliyapiga mataifa mengi,

11Mfalme Sihoni na Waamori,

12akatoa nchi yao kuwa urithi,

13Ee Bwana*, jina lako ladumu milele,

14Maana Bwana* atawathibitisha watu wake,

15Sanamu za mataifa ni fedha na dhahabu,

16Zina vinywa, lakini haziwezi kusema,

17zina masikio, lakini haziwezi kusikia,

18Wale wanaozitengeneza watafanana nazo,

19Ee nyumba ya Israeli, msifuni Bwana*;

20ee nyumba ya Lawi, msifuni Bwana*;

e>