1Kando ya mito ya Babeli tuliketi, tukaomboleza
2Kwenye miti ya huko
3kwa maana huko hao waliotuteka
4Tutaimbaje nyimbo za Bwana*,
5Nikikusahau wewe, ee Yerusalemu,
6Ulimi wangu ushikamane na kaakaa la kinywa changu
7Kumbuka, Ee Bwana*, walichokifanya Waedomu,
8Ee binti Babeli, uliyehukumiwa kuangamizwa,