1Nitakusifu wewe, Ee Bwana*, kwa moyo wangu wote,
2Nitasujudu nikielekea Hekalu lako takatifu,
3Nilipoita, ulinijibu;
4Wafalme wote wa dunia wakusifu wewe Ee Bwana*,
5Wao na waimbe kuhusu njia za Bwana*,
6Ingawa Bwana* yuko juu,
7Nijapopita katikati ya shida,