1Ee Bwana*, niokoe, kutoka kwa watu waovu;
2ambao hupanga mipango mibaya mioyoni mwao,
3Wao hufanya ndimi zao kali kama za nyoka,
4Ee Bwana*, niepushe na mikono ya waovu;
5Wenye kiburi wameficha mtego wa kuninasa,
6Ee Bwana*, ninakuambia, “Wewe ni Mungu wangu.”
7Ee Bwana* Mwenyezi, Mwokozi wangu mwenye nguvu,
8Ee Bwana*, usiwape waovu matakwa yao,
9Vichwa vya wanaonizunguka vifunikwe
10Makaa ya mawe ya moto na yawaangukie!
11Wasingiziaji wasifanikiwe katika nchi;
12Najua kwamba Bwana* huwapatia maskini haki,