1Ee Bwana*, ninakuita wewe, uje kwangu hima.
2Maombi yangu na yafike mbele zako kama uvumba;
3Ee Bwana*, weka mlinzi kinywani mwangu,
4Usiuache moyo wangu uvutwe katika jambo baya,
5Mtu mwenye haki na anipige: ni jambo la huruma;
6watawala wao watatupwa chini
7Watasema, “Kama mtu anavyolima na kuvunja ardhi,
8Lakini nimekaza macho yangu kwako, Ee Bwana* Mwenyezi,
9Niepushe na mitego waliyonitegea,