Zaburi 143:1-11 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, sikia sala yangu,

2Usimhukumu mtumishi wako,

3Adui hunifuatilia,

4Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu,

5Nakumbuka siku za zamani;

6Nanyoosha mikono yangu kwako,

7Ee Bwana*, unijibu haraka,

8Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma,

9Ee Bwana*, uniokoe na adui zangu,

10Nifundishe kufanya mapenzi yako,

11Ee Bwana*, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu,

e>