1Msifuni Bwana*.
2Msifuni kwa matendo yake makuu,
3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta,
4msifuni kwa matari na kucheza,
5msifuni kwa matoazi yaliayo,
6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana*.
1Msifuni Bwana*.
2Msifuni kwa matendo yake makuu,
3Msifuni kwa mvumo wa tarumbeta,
4msifuni kwa matari na kucheza,
5msifuni kwa matoazi yaliayo,
6Kila chenye pumzi na kimsifu Bwana*.