Zaburi 18:1-49 ONEN - Bible AI

1Nakupenda wewe, Ee Bwana*,

2Bwana* ni mwamba wangu,

3Ninamwita Bwana* anayestahili kusifiwa,

4Kamba za mauti zilinizunguka,

5Kamba za kuzimu zilinizunguka,

6Katika shida yangu nalimwita Bwana*,

7Dunia ilitetemeka na kutikisika,

8Moshi ukapanda kutoka puani mwake,

9Akazipasua mbingu akashuka chini,

10Alipanda juu ya kerubi akaruka,

11Alifanya giza kuwa kitu chake cha kujifunika,

12Kutokana na mwanga wa uwepo wake

13Bwana* alinguruma kutoka mbinguni,

14Aliipiga mishale yake na kutawanya adui,

15Mabonde ya bahari yalifunuliwa,

16Alinyoosha mkono kutoka juu na kunishika;

17Aliniokoa kutoka adui wangu mwenye nguvu nyingi,

18Walinikabili siku ya msiba wangu,

19Alinileta nje mahali penye nafasi tele,

20Bwana* alinitendea sawasawa na uadilifu wangu;

21Kwa maana nimezishika njia za Bwana*;

22Sheria zake zote zi mbele yangu,

23Nimekuwa sina hatia mbele zake,

24Bwana* amenilipa sawasawa na uadilifu wangu;

25Kwa yeye aliye mwaminifu, unajionyesha kuwa mwaminifu,

26Kwa aliye mtakatifu, unajionyesha kuwa mtakatifu,

27Wewe huwaokoa wanyenyekevu,

28Wewe, Ee Bwana*, unaifanya taa yangu iendelee kuwaka;

29Kwa msaada wako naweza kushinda jeshi,

30Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu,

31Kwa maana ni nani aliye Mungu

32Mungu ndiye anivikaye nguvu

33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu,

34Huifundisha mikono yangu kupigana vita;

35Hunipa ngao yako ya ushindi,

36Huyapanua mapito yangu,

37Niliwafuatia adui zangu na nikawapata,

38Niliwaseta hata hawakuweza kuinuka tena;

39Ulinivika nguvu kwa ajili ya kupigana vita;

40Uliwafanya adui zangu wageuke na kukimbia,

41Walipiga yowe, lakini hapakuwepo na yeyote wa kuwaokoa;

42Niliwaponda kama mavumbi yanayopeperushwa na upepo;

43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu;

44Mara wanisikiapo hunitii,

45Wote wanalegea,

46Bwana* yu hai! Sifa ni kwa Mwamba wangu!

47Yeye ndiye Mungu anilipiziaye kisasi,

48aniokoaye na adui zangu.

49Kwa hiyo nitakusifu katikati ya mataifa, Ee Bwana*;

>