Zaburi 21:1-12 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, mfalme huzifurahia nguvu zako.

2Umempa haja ya moyo wake

3Ulimkaribisha kwa baraka tele

4Alikuomba maisha, nawe ukampa,

5Kutokana na ushindi uliompa, utukufu wake ni mkubwa,

6Hakika umempa baraka za milele,

7Kwa kuwa mfalme anamtumaini Bwana*;

8Mkono wako utawashika adui zako wote,

9Wakati utakapojitokeza

10Utawaangamiza wazao wao kutoka duniani,

11Ingawa watapanga mabaya dhidi yako

12kwa kuwa utawafanya wakimbie

>