1Dunia ni mali ya Bwana*, na vyote vilivyomo ndani yake,
2maana aliiwekea misingi yake baharini
3Nani awezaye kuupanda mlima wa Bwana*?
4Ni yule mwenye mikono safi na moyo mweupe,
5Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana*,
6Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao,
7Inueni vichwa vyenu, enyi malango,
8Ni nani huyu Mfalme wa utukufu?
9Inueni vichwa vyenu, enyi malango,