1Ee Bwana*, nithibitishe katika haki,
2Ee Bwana*, unijaribu, unipime,
3kwa maana upendo wako
4Siketi pamoja na watu wadanganyifu,
5ninachukia kusanyiko la watenda mabaya
6Ninanawa mikono yangu kwa kuwa sina hatia,
7nikitangaza sifa yako kwa sauti kubwa,
8Ee Bwana*, naipenda nyumba yako mahali unakoishi,
9Usiiondoe nafsi yangu pamoja na watenda dhambi,
10ambao mikononi mwao kuna mipango miovu,
11Bali mimi ninaishi maisha yasiyo na lawama;