1Ee Bwana*, tazama adui zangu walivyo wengi!
2Wengi wanasema juu yangu,
3Lakini wewe, Ee Bwana*, ni ngao pande zote;
4Ninamlilia Bwana* kwa sauti kuu,
5Ninajilaza na kupata usingizi;
6Sitaogopa makumi elfu ya adui,
7Ee Bwana*, amka!