Zaburi 35:1-27 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, pingana na wale wanaopingana nami,

2Chukua ngao na kigao.

3Inua mkuki wako na fumo+ 35:3 Fumo ni sawa na sagai, maana yake ni mkuki mfupi.* lako

4Wafedheheshwe na waaibishwe

5Wawe kama makapi yapeperushwayo na upepo,

6Njia yao na iwe giza na ya utelezi,

7Kwa vile walinifichia wavu wao bila sababu,

8maafa na yawapate ghafula:

9Ndipo nafsi yangu itashangilia katika Bwana*

10Nitapaza sauti yangu nikisema,

11Mashahidi wakatili wanainuka,

12Wananilipa baya kwa jema

13Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia

14niliendelea kuomboleza

15Lakini nilipojikwaa,

16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki,

17Ee Bwana*, utatazama mpaka lini?

18Nami nitakushukuru mbele ya kusanyiko kubwa,

19Usiwaache wale wanaonisimanga,

20Hawazungumzi kwa amani,

21Hunifumbulia vinywa vyao wakisema, “Aha! Aha!

22Ee Bwana*, umeona hili, usiwe kimya.

23Amka, inuka unitetee!

24Nihukumu kwa haki yako, Ee Bwana* Mungu wangu,

25Usiwaache wafikiri, “Aha, hili ndilo tulilotaka!”

26Wote wanaofurahia dhiki yangu

27Wale wanaofurahia hukumu yangu ya haki

>