1Nilisema, “Nitaziangalia njia zangu
2Lakini niliponyamaza kimya na kutulia,
3Moyo wangu ulipata moto ndani yangu,
4“Ee Bwana*, nijulishe mwisho wa maisha yangu
5Umefanya maisha yangu mafupi kama pumzi;
6Hakika kila binadamu ni kama njozi
7“Lakini sasa Bwana, nitafute nini?
8Niokoe kutoka kwenye makosa yangu yote,
9Nilinyamaza kimya,
10Niondolee mjeledi wako,
11Unakemea na kuadhibu wanadamu
12“Ee Bwana*, usikie maombi yangu,