1Nilimngoja Bwana* kwa saburi,
2Akanipandisha kutoka shimo la uharibifu,
3Akaweka wimbo mpya kinywani mwangu,
4Heri mtu yule amfanyaye Bwana* kuwa tumaini lake,
5Ee Bwana* Mungu wangu,
6Dhabihu na sadaka hukuvitaka,
7Ndipo niliposema, “Mimi hapa, nimekuja:
8Ee Mungu wangu,
9Nimehubiri haki katika kusanyiko kubwa,
10Sikuficha haki yako moyoni mwangu;
11Ee Bwana*, usizuilie huruma zako,
12Kwa maana taabu zisizo na hesabu zimenizunguka,
13Ee Bwana*, uwe radhi kuniokoa;
14Wote wanaotafuta kuuondoa uhai wangu,
15Wale waniambiao, “Aha! Aha!”
16Lakini wote wakutafutao