1Heri mtu yule anayemjali mnyonge,
2Bwana* atamlinda na kuyahifadhi maisha yake,
3Bwana* atamtegemeza awapo mgonjwa kitandani,
4Nilisema, “Ee Bwana* nihurumie,
5Adui zangu wanasema kwa hila,
6Kila anapokuja mtu kunitazama,
7Adui zangu wote hunongʼonezana dhidi yangu,
8“Ugonjwa mbaya sana umempata,
9Hata rafiki yangu wa karibu niliyemwamini,
10Lakini wewe, Ee Bwana*, nihurumie,
11Najua kwamba wapendezwa nami,
12Katika uadilifu wangu unanitegemeza