1Ee Bwana*, tegea sikio maneno yangu,
2Sikiliza kilio changu ili unisaidie,
3Asubuhi, unasikia sauti yangu, Ee Bwana*;
4Wewe si Mungu unayefurahia uovu,
5Wenye kiburi hawawezi kusimama mbele yako,
6Unawaangamiza wasemao uongo.
7Lakini mimi, kwa rehema zako kuu,
8Niongoze katika haki yako, Ee Bwana*,
9Hakuna neno kinywani mwao linaloweza kuaminika,
10Uwatangaze kuwa wenye hatia, Ee Mungu!
11Lakini wote wakimbiliao kwako na wafurahi,