Zaburi 57:1-10 ONEN - Bible AI

1Unihurumie, Ee Mungu, unihurumie,

2Namlilia Mungu Aliye Juu Sana,

3Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa,

4Niko katikati ya simba,

5Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu,

6Waliitegea miguu yangu nyavu,

7Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti;

8Amka, nafsi yangu!

9Nitakusifu wewe, Ee Bwana*, katikati ya mataifa;

10Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni,

>