Zaburi 6:1-9 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, usinikemee katika hasira yako,

2Unirehemu Bwana*,

3Nafsi yangu ina uchungu mwingi.

4Geuka Ee Bwana*, unikomboe,

5Hakuna mtu anayekukumbuka

6Nimechakaa kwa kulia kwa huzuni;

7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika,

8Kaeni mbali nami, ninyi nyote mtendao mabaya,

9Bwana* amesikia kilio changu kwa huruma,

© 2001 American Bible Society
/div>