Zaburi 60:1-11 ONEN - Bible AI

1Ee Mungu, umetukataa na kutokea ghafula juu yetu,

2Umetetemesha nchi na kuipasua;

3Umewaonyesha watu wako nyakati za kukata tamaa;

4Kwa wale wanaokucha wewe,

5Tuokoe na utusaidie kwa mkono wako wa kuume,

6Mungu amenena kutoka patakatifu pake:

7Gileadi ni yangu na Manase ni yangu;

8Moabu ni sinia langu la kunawia,

9Ni nani atakayenipeleka hadi mji wenye ngome?

10Ee Mungu, si ni wewe uliyetukataa sisi,

11Tuletee msaada dhidi ya adui,

>