Zaburi 7:1-16 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, Mungu wangu, ninakukimbilia wewe,

2la sivyo watanirarua kama simba

3Ee Bwana*, Mungu wangu, kama nimetenda haya

4au ikiwa nimemtenda uovu aliye na amani nami,

5basi adui anifuatie na kunipata,

6Amka kwa hasira yako, Ee Bwana*,

7Kusanyiko la watu na likuzunguke.

8Bwana* na awahukumu kabila za watu.

9Ee Mungu mwenye haki,

10Ngao langu ni Mungu Aliye Juu Sana,

11Mungu ni mwamuzi mwenye haki,

12Kama hakutuhurumia,

13Ameandaa silaha zake kali,

14Yeye aliye na mimba ya uovu

15Yeye achimbaye shimo na kulifukua

16Ghasia azianzishazo humrudia mwenyewe,