Zaburi 75:1-9 ONEN - Bible AI

1Ee Mungu, tunakushukuru,

2Unasema, “Ninachagua wakati maalum;

3Wakati dunia na watu wake wote inapotetemeka,

4Kwa wale wenye majivuno ninasema,

5Msiinue pembe zenu dhidi ya mbingu;

6Hakuna yeyote atokaye mashariki wala magharibi

7Bali Mungu ndiye ahukumuye:

8Mkononi mwa Bwana* kuna kikombe

9Bali mimi, nitatangaza hili milele;