Zaburi 79:1-12 ONEN - Bible AI

1Ee Mungu, mataifa yameuvamia urithi wako,

2Wametoa maiti za watumishi

3Wamemwaga damu kama maji

4Tumekuwa kitu cha aibu kwa jirani zetu,

5Hata lini, Ee Bwana*? Je, wewe utakasirika milele?

6Mwaga ghadhabu yako kwa mataifa yasiyokukubali,

7kwa maana wamemrarua Yakobo

8Usituhesabie dhambi za baba zetu,

9Ee Mungu Mwokozi wetu, utusaidie,

10Kwa nini mataifa waseme,

11Kilio cha huzuni cha wafungwa kifike mbele zako;

12Walipize jirani zetu mara saba vifuani mwao

>