1Ee Bwana*, sikia na unijibu,
2Linda maisha yangu, kwa maana nimejiweka kwako,
3Ee Bwana*, nihurumie mimi,
4Mpe mtumishi wako furaha,
5Ee Bwana*, wewe ni mwema na mwenye kusamehe,
6Ee Bwana*, sikia maombi yangu,
7Katika siku ya shida yangu nitakuita,
8Ee Bwana*, katikati ya miungu hakuna kama wewe,
9Ee Bwana*, mataifa yote uliyoyafanya
10Kwa maana wewe ni mkuu, na unafanya mambo ya ajabu;
11Ee Bwana*, nifundishe njia yako,
12Ee Bwana* wangu, nitakusifu kwa moyo wote;
13Kwa maana upendo wako ni mkuu kwangu;
14Ee Mungu, wenye majivuno wananishambulia;
15Lakini wewe, Ee Bwana*, ni Mungu wa huruma na neema,
16Nigeukie na unihurumie;