Zaburi 9:1-19 ONEN - Bible AI

1Ee Bwana*, nitakutukuza kwa moyo wangu wote,

2Nitafurahi na kushangilia ndani yako.

3Adui zangu wamerudi nyuma,

4Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu;

5Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu;

6Uharibifu usiokoma umempata adui,

7Bwana* anatawala milele,

8Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki,

9Bwana* ni kimbilio la watu wanaoonewa,

10Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe,

11Mwimbieni Bwana* sifa, amefanywa mtawala Sayuni,

12Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka,

13Ee Bwana*, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa!

14ili niweze kutangaza sifa zako

15Mataifa wameanguka kwenye shimo walilolichimba,

16Bwana* anajulikana kwa haki yake,

17Waovu wataishia kuzimu,

18Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote,

19Ee Bwana*, inuka, usimwache binadamu ashinde.