Zaburi 91:1-15 ONEN - Bible AI

1Yeye akaaye mahali pa salama pake Yeye Aliye Juu Sana,

2Nitasema kumhusu Bwana*, “Yeye ndiye kimbilio langu na ngome yangu,

3Hakika yeye ataniokoa na mtego wa mwindaji,

4Atakufunika kwa manyoya yake,

5Hutaogopa vitisho vya usiku,

6wala maradhi ya kuambukiza

7Ijapo watu elfu wataangukia kando yako,

8Utatazama tu kwa macho yako

9Kama ukimfanya Aliye Juu Sana kuwa makao yako:

10basi hakuna madhara yatakayokupata wewe,

11Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako,

12Mikononi mwao watakuinua,

13Utawakanyaga simba na nyoka wakali,

14Bwana* asema, “Kwa kuwa ananipenda, nitamwokoa;

15Ataniita, nami nitamjibu;

>