1Ni vyema kumshukuru Bwana*
2kuutangaza upendo wako asubuhi,
3kwa zeze yenye nyuzi kumi
4Ee Bwana*, kwa kuwa matendo yako yamenifurahisha,
5Ee Bwana*, tazama jinsi yalivyo makuu matendo yako,
6Mjinga hafahamu,
7ingawa waovu huchipua kama majani
8Bali wewe, Ee Bwana*,
9Ee Bwana*, hakika adui zako,
10Umeitukuza pembe+ 92:10 Pembe inawakilisha nguvu.* yangu kama ile ya nyati dume,
11Macho yangu yamewaona adui zangu wakishindwa,
12Wenye haki watastawi kama mtende,
13waliopandwa katika nyumba ya Bwana*,
14Wakati wa uzee watakuwa bado wanazaa matunda,