Zaburi 95:1-10 ONEN - Bible AI

1Njooni, tumwimbie Bwana* kwa furaha;

2Tuje mbele zake kwa shukrani,

3Kwa kuwa Bwana* ni Mungu mkuu,

4Mkononi mwake mna vilindi vya dunia,

5Bahari ni yake, kwani ndiye aliifanya,

6Njooni, tusujudu, tumwabudu,

7kwa maana yeye ndiye Mungu wetu,

8msiifanye mioyo yenu migumu

9ambapo baba zenu walinijaribu na kunipima,

10Kwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile,

>