1Bwana* anatawala, nchi na ifurahi,
2Mawingu na giza nene vinamzunguka,
3Moto hutangulia mbele zake
4Umeme wake wa radi humulika dunia,
5Milima huyeyuka kama nta mbele za Bwana*,
6Mbingu zinatangaza haki yake,
7Wote waabuduo sanamu waaibishwa,
8Sayuni husikia na kushangilia,
9Kwa kuwa wewe, Ee Bwana*, ndiwe Uliye Juu Sana kuliko dunia yote;
10Wale wanaompenda Bwana* na wauchukie uovu,
11Nuru huangaza wenye haki